Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
😳😳😳😳😳!!
Mna seat zenu special shangazi 🤓🤓🤓Asante kwa kutukumbuka mjomba 💃😂!!
Enjoy your evening dear!
😂😂😂 hahahaaa!! Tujazeee Tujazee mjombaaa weee tujazeee tu!!🤭Mna seat zenu special shangazi 🤓🤓🤓
😀😀😀 asie na tumbo ni nyoka , hata nae anako kadogo kakutunza msosi😂😂😂 hahahaaa!! Tujazeee Tujazee mjombaaa weee tujazeee tu!!🤭
hahahhahahahha!! Bei wapi Anne choka mbaya tu mie!!
Hahahhahahahha!!! Asante kukutetea nasie Walau mjomba!!😂😂😂!!😀😀😀 asie na tumbo ni nyoka , hata nae anako kadogo kakutunza msosi
Akhsante kwa kunisalimiaT 1990 ELY nakusalimia mkuu!! Habariiiiiii![]()
Hatujambo mkuu binafsi salanu nimezipokea barikiwa sana na uwe na Jioni njema mkuu!
Niko vyedi sana Eli!!
Wewe ukisema choka mbaya,je Mimi ninayesuka Sina bum nitasemaje🤣🤣🤣hahahhahahahha!! Bei wapi Anne choka mbaya tu mie!!
Choka mie mbaya kweli Mdogo wangu!! Si una biashara lakini!!Wewe ukisema choka mbaya,je Mimi ninayesuka Sina bum nitasemaje🤣🤣🤣






!! Weee Pm yake iko wazi kwani??? kama ivo Ngoja nikimbie fastaaaaaa mr vocha teinaaaaaaaaaa 







!!