Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dereva wa moyo wangu
Usinipeleke puta puta (Puta)
Taratibu mwenzangu
Penzi njia yenye matuta (Tuta)

Amepinga nimepinga
Penzi hamwezi futa (Futa)
Nakula kwa raha zangu
Nyama mpaka mfupa (Fupa)

Kisura cha upole
Kama mama yangu (Talalala)
Unifunde kwa mkole
Uwe somo yangu (Talalala)

Huba tulisosomole
Chuzi kwa matandu (Talalala)
Nile bungo kwa kidole
Mambo chambu chambu

Huyu Alayna
 
Dereva wa moyo wangu
Usinipeleke puta puta (Puta)
Taratibu mwenzangu
Penzi njia yenye matuta (Tuta)

Amepinga nimepinga
Penzi hamwezi futa (Futa)
Nakula kwa raha zangu
Nyama mpaka mfupa (Fupa)

Kisura cha upole
Kama mama yangu (Talalala)
Unifunde kwa mkole
Uwe somo yangu (Talalala)

Huba tulisosomole
Chuzi kwa matandu (Talalala)
Nile bungo kwa kidole
Mambo chambu chambu

🎼🎼🎸🎶🎶🎺🎵🎵
Mbona Kupatwa kwa mr vochaa walai! Aririririririiiiiiiiiii cocastic Sitaki kukusimulia shoss njoo ushuhudie mwenyewee hukuuuuu!!
mr Vocha kachachuka vibayaaa awwwwwwwwwww!!!
Umechangamka hadi sio poa mr Vocha houuungerrraaaaa saiiiinaaa!!🤸🤸🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️!!🤭🤭😅
Alayna mamiii come this way kwa dedication ako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
 
Back
Top Bottom