Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Nani alificha wewe?
Nani alificha wewe?
We auntie yake mchagulie basi...![]()





Hapo sawa mkwe.Slip of the hand happened mkweeee



Bangi zenu nyiewanywa soda utawajua tu wanachapia hadi majina ya vinywaji vyetu aisee



Zurri binti amekubali ndoa ya wawiliHawachi, Zurri na ndugu zangu wengine katika imani.
Maulid inakaribia..tusisahauliane jamani kualikana.
Allah atupe wepesi tuifikie In sha'Allah.View attachment 1255319View attachment 1255320
Shem usisahau zawadi.
Anajishaua hataki kujaZurri binti amekubali ndoa ya wawili
Aaah sitaki kabisa mchezo na mtonyo.
Hehehe sasa nice wako si atakuwa leo kwa huyu, kesho kwa yule...Aaah sitaki kabisa mchezo na mtonyo.
Kama hana msimamo ahangaike tu, ila akinipa kazi namchagulia mwenye mtonyo zaidi.Hehehe sasa nice wako si atakuwa leo kwa huyu, kesho kwa yule...
Sisi watoa mitonyo hatulingani ujue...
Always welcome my![]()
Kumbe upo single?Hakuna kabisaa jamani
Still singo and happy![]()
Kwahiyo mnakwenda wenyewe?No worries big sis.. I now, record it on my "to do list"



Kwahiyo mnakwenda wenyewe?![]()
Wewe na Depal mmemkasirisha nini si kawaida yake kuwa hivi😁😁Anajishaua hataki kuja