Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Greetings Sis.. Dubei si mpaka tupate vibali maalumu!!

In meantime njoo tu tule pweza huku tukiangalia ocean tides. And u know what?? I miss stone skipping with someone I like
Greetings brod. Aisee count me in. Hiyo safari ya dubei can wait tu. Ukinipeleka tu kwenye view kama niliyoiona hapo; mbona ntaongezeka uzito kwa raha dada ako
 
Goood morning from this side
 

Attachments

  • 20191106_081233.jpeg
    20191106_081233.jpeg
    62.9 KB · Views: 7
Hahahaah..yule mzee mwantimwa alikuwa jirani yangu pale loleza sec..
Tumeishi pamoja pale kwenye zile Kota kabla hajahama rasmi..
Mkewe na watoto walikuwa wanauwata wazuri Sana..niliwapenda.

Kuhusu jina umepatia kabisa.. you're so smart my dear.
Ila mwakaleli bhna migomo yenu ilikuwa inachekesha.. Mara mmegoma sababu mnataka wali nyama.
Mara sukari hamna kwenye uji.
 
Back
Top Bottom