Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
Nashukuru sana kwa kuibariki siku yanguHawachi, Zurri na ndugu zangu wengine katika imani.
Maulid inakaribia..tusisahauliane jamani kualikana.
Allah atupe wepesi tuifikie In sha'Allah.View attachment 1255319View attachment 1255320







