Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kazi nzuriHawachi, Zurri na ndugu zangu wengine katika imani.
Maulid inakaribia..tusisahauliane jamani kualikana.
Allah atupe wepesi tuifikie In sha'Allah.View attachment 1255319View attachment 1255320
We auntie yake mchagulie basi...Yeleuwiiii!! Hachaguagi huyu, anawabeba wote.

Napo naweza yaani usafiri wowote ule ili mradi tu niwe nasafiri ila najua kuwa air hostess itaendelea kubaki kuwa ndoto tu sababu ya sura na umbo kwahiyo labda meli au treni lakini basi hapana



haki vile natamanigi sana hiyo scene inikute siku moja ila tu isisababishe ajali,, tena nikiwa ndani ya dude moja la uarabuni kati ya emirates au etihad siyo hutu tupanzi twetu..
Natamani ningekuwa na huo uwezo nipandage zangu ndege.
Kwa hiyo wewe unafurahia kushindwa kutua au sio..Kuna madogo akili zao za bangi Sana
![]()
Mimi nimepaelewa zaidi hapo uliposemaSasa wewe safari ya ndege tu unachoka?? Wakati wengine tunatamani hata ndege zipate hitilafu ili safari iwe ndefu??
Kuna dereva mmoja wa shuttle kule mbeya alinisimulia walipanda fast jet kutoka dar kuenda mbeya wakafika mbeya wakakuta mvua kubwa inanyesha wingu zito limetanda anga haliko shwari hivyo hawawezi kutua
Rubani akaambiwa arudishe ndege dar wakalale dar watarudi mbeya kesho kwa ticket zile zile na hakutakuwa na gharama zozote za ziada labda sehemu za kulala kwa siku hiyo ndiyo abiria wangejitegemea
Nasikia wakarudi dar kesho yake wakaanza tena safari kuenda mbeya ndiyo wakafika salama,, nikasema looh mimi mbona na kusafiri kwangu kote na ndege sijawahi kukutana na kadhia kama hizo jamani ili safari iwe ndefu maana dar mbeya lisaa limoja tu mmefika sipendi mimi..
Hiyo tu?Au siyo?? Unajua kuswali Al Fatihah??
HahahahahahaMbona mabano, unaogopa nini?
Umefuraaahihahahaaa!




Inatokea nchi gani mkuu ?
JamaaniiiYeleuwiiii!! Hachaguagi huyu, anawabeba wote.
Tatizo uwezo![]()
Siishii hapo mkuu
Shkamoo mjedaKitaa leo.. Kienyeji zaidi... View attachment 1255346
I feel you.South Africa,, ipo kwa top ten kwenye list ya the most luxurious trains in the world..
Imagine the feeling of seeing it live and taking a photo with it![]()
Na uone aibu kabisaadah! Nakumbuka sana Mimi
Mpaka aibu naona sasa.
Kitaa leo.. Kienyeji zaidi... View attachment 1255346
Unaogopa kuharibu kazi mkuu ?







Na mmemchezea sana yaani.
Siku akija kugeuza kibao sijui mtamwambia Nini.