Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weka hapa vocha cuzoooo, mtoto mkaree km mie utaweza kunimiliki km vocha tyuuh kwako shidaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha hizoooo mtoto mie portablee, mzunguuu, genius, khaaah unaniangusha bhana.
HAhahahaha!!number inahitaj cause shangaz kaniambia uliondoka hme mda mlefu nataka nsikia saut yako kama imebadilika
 
Ngoja tuone

Kishaanza kutupia huko kwa Biden

Asije kengeuka kama Aubamayang
Wachezaji huwa hawaeleweki, afu Chelsea wamemdaka Coulibaly, wamelamba dume.

Nipo hoi kwa Bayern, yaan lewandowski kapania kutoka hadi kafanikisha kwenda Barca. Daaaah.
Ila Mane yupo pale ataziba pengo.
 
Back
Top Bottom