Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nkamu kwani huwa unamwagilia moyo?[emoji16][emoji16][emoji16]

Aisee umeopoa bonge la pisi; full utu na Utulivu. Yaani you have all my blessings na ukweni nakusindikiza.

Depal ni binti Zumaridi[emoji16][emoji16][emoji16]

Mama junia Saint Anne nimetoka kwake jana.

Mwanafunzi cocastic nishampa salamu zake.
Eti kasema nipo na lecturer, akati mie nipo na studiee mwenzangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani mnisamehe bure ndugu zangu leo nimetupia ginger ale zangu 3 kwa hiyo hii akili si yangu leo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni ulevi...🤣😁🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Umefurahi kweli leo mwenyewe!!!
Hio furaha na idumu mileleee na milele daimaaaaaa ....

Amen!🙏
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo Pa Lecturer sasa, kanikimbiaaaa.
Mlongo wewe ndo umenifundisha haya mambo ya umbeya unaona sasa na mimi nineanza kuiga nyendo zako hadi nimetaka kuandika uzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mimi nilidhani bado upo na lectuler hotelini mnapiga mizagamuo ya kufa mtuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom