Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiamua kunikomeshaa mbna unawezaaa,
Trakoooooooh, stogimbiiiii
Guu la bia.
Le madameeeee, Chemistress [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Woyooooooooohh!!!!

Iko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Chemistress 🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!
Tulia hivohivooooo!!
 
Remember Zero sugar all the time( No soda, etc, take a cup of Black coffee every morning, Black Coffee no sugar . Do HIIT exercise for 15 minutes when your free. That will be a walk to Happiness [emoji1476]
Thank you rafiki,nakunywa Sana maji soda sipendelei kabisa nowdays au vinjwaji vingine
Mazoezi hapo ndo changamoto mudaa maana natoka alfajir kurudi machweo...kula nakula mchana tu SEMA may be nakula Sana Minyama(mazingira ya kazi nyama choma kwa Sana),usiku masontoja ya wale madogo pale home balaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji38][emoji38]wali nazii!
Nadhani napaswa kupunguza kwa Sasa ili nibaki kwenye 70kgs
 
Unakula sana eeeeh?? Punguzaaaa.
 
Back
Top Bottom