Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe bado upo nkamu
Haya naanza sasa mama mchungaji

Mambo ni mengi muda ni mchache
Ulipokua rikizo kuna mambo yametokea
Kwanza mwanai Saint Anne amemleta junia ni kazuri ila kamemsumbua kidogo kwenye malezi hata huku jukwaani anaingia kwa kubip........

Binti yako cocastic alikua na mitihani amemaliza salama na sasa yupo rikizo anakula maisha na lectuler wake Jack Palladino mambo ni bam bam

Mwanao Depal amekua mtundu anavaa vikaptula vya kuchanika vimembanaaa alafu kama T 1990 ELY anampenda hivi.....

Mama mchungaji mimi pia ninepata mchumba anaitwa Alayna nasubiri barakazako tu mama mchungaji ili nipeleke posa....

Mama malezi mambo ni mengi mengi ngoja ninywe maji kwanza nitaendelea .....

Hapo Pa Lecturer sasa, kanikimbiaaaa.
 
Back
Top Bottom