Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Naomba picha ulizofutaNgoja nikuwekee mwenyewe
Naomba picha ulizofutaNgoja nikuwekee mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji44][emoji44][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hivi mazoezi Ni magumu eeh,,?
Vipi kuhusu Askari wanaokuja huko kupata course ya muda wa miezi kadhaa..mazoezi Yao yapoje?
Hakuna kuwa na familia !?[emoji849][emoji849]
Mpaka hapa nilishashindwa[emoji23]
Kitaa leo.. Kienyeji zaidi... View attachment 1255346
Au tujipendekeze nini na sie tuambulie hata harufu ya mema ya nchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]si ndio hapo sasa hebu aache kumshushia heshima kaka wa watu mutu mukubwa mutu ya watu al watan
Eeeh nimeona kalike 💃💃💃💃Acheni kujidogoisha wake wa sheikh nyie[emoji12]
Sikuwakuta.Hahahaha mama kwani wewe haukuwakuta wale wa kujitolea wa miezi sita??
Hata hivyo mie hayo mazoezi ya jakata hayanishitui ninayoyawazia ni yale ya TMA Monduli yale ya kuwa officer aisee nasikia ukifika pale haki za binadamu zinaishia getini!!
View attachment 1255360Neema za Allah
Doooh[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Ndiyo yaani air hostess hana tofauti sana na rubani na ndiyo maana mara nyingi huwa wana hook up wanadate wao kwa wao sasa mtu muda wote unazunguka na midege huo muda wa kuwa na familia unaupata wapi??
Mimi Kama nilienda kutalii tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikushika kwa kweli..mkono wangu mmoja ni mbovu
Hiyo ni live baba NaaahMama Nah umedownload picha za maporomoko yapi?
HahahahahaEeeh nimeona kalike [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Au tujipendekeze nini na sie tuambulie hata harufu ya mema ya nchi
Hiyo ni live baba Naaah
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Naagiza carton ya Mirinda nyeusi mimi jamani