Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyoo halafu unanicheka mimi niliyeenda kwenye kambi ya wangojwa wakati mwenzio kwenye graduation nilikuwa kwenye kwata aise tulipractice karibu mwezi mzima na yale madude ilifika kipindi tukawa tunaweka vitambaa kwenye mabega maana mifupa ya mabega ilianza kuuma
Sasa ruvu na wewe Ni wa kunisumbua?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mgonjwa aliyepo msange Ni Bora kuliko wazima mlioko ruvu.
Waliwazoa mibonge mmeenda huko kula tu mkarudi vilevile [emoji23][emoji23].
Ningekuelewa Kama ungekuwa umeenda kanembwa[emoji1787]
 
Ndiyo ya mujibu wa sheria marahisi sana,, kuna mtu aliniambia ukifika kule monduli unakutana na makamanda ya kimasai na kikurya yamepanda hewani miili utafikiri nyumba halafu ndiyo yanawapigisha course sasa leta fyoko uone..

Ukiingia ndani ya lile geti wewe siyo mtu ni mnyama
Sikuwakuta.

Haki za binadamu zinaishia getini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yale ya kwetu naona yalikuwa marahisi..nilikuwa nashinda shamba kulima matikiti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo lakini mimi natamani aisee
Mtafute yule wa air tz aliyeleta chombo toka Canada[emoji23][emoji23].
Ni kijana mdogo na Hana familia ila anawaza kuwa na familia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ulishindwa hata kumtafuta yule Mtoto wa mabeyo shoga[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina jirani yangu alienda kanembwa bonge karudi vile vile na hakuwa mgonjwa sasa sijui unataka kusemaje labda
Sasa ruvu na wewe Ni wa kunisumbua?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mgonjwa aliyepo msange Ni Bora kuliko wazima mlioko ruvu.
Waliwazoa mibonge mmeenda huko kula tu mkarudi vilevile [emoji23][emoji23].
Ningekuelewa Kama ungekuwa umeenda kanembwa[emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji44]look at ya
Ndiyo ya mujibu wa sheria marahisi sana,, kuna mtu aliniambia ukifika kule monduli unakutana na makamanda ya kimasai na kikurya yamepanda hewani miili utafikiri nyumba halafu ndiyo yanawapigisha course sasa leta fyoko uone..

Ukiingia ndani ya lile geti wewe siyo mtu ni mnyama
 
Ndiyo ya mujibu wa sheria marahisi sana,, kuna mtu aliniambia ukifika kule monduli unakutana na makamanda ya kimasai na kikurya yamepanda hewani miili utafikiri nyumba halafu ndiyo yanawapigisha course sasa leta fyoko uone..

Ukiingia ndani ya lile geti wewe siyo mtu ni mnyama
Unakuwa mnyama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kuna mtu nahisi anayafanya hayo maskini na alivyokuwa mzuri halafu anageuzwa kuwa mnyama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kina Sanchez magoli Mungu anawaona[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina jirani yangu alienda kanembwa bonge karudi vile vile na hakuwa mgonjwa sasa sijui unataka kusemaje labda
Nataka kusema ruvu kambi ya wagonjwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake wa shoka tulienda msange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]weee ningemtafuta yule saa hii ningekuwa mjane nalia msiba
Mtafute yule wa air tz aliyeleta chombo toka Canada[emoji23][emoji23].
Ni kijana mdogo na Hana familia ila anawaza kuwa na familia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ulishindwa hata kumtafuta yule Mtoto wa mabeyo shoga[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wapi wewe sasa ndiyo kama hivyo ulienda ukaishia kuwa unamwagilia matikiti tu hivi ulienda hata route march na syndicate wewe?? Na ulivyo mvivu kutembea!!
Nataka kusema ruvu kambi ya wagonjwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake wa shoka tulienda msange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wapi wewe sasa ndiyo kama hivyo ulienda ukaishia kuwa unamwagilia matikiti tu hivi ulienda hata route march na syndicate wewe?? Na ulivyo mvivu kutembea!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom