Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]weee ningemtafuta yule saa hii ningekuwa mjane nalia msiba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini ungekuwa ushasafisha nyota[emoji23]
Tena ungepata na connection jeshini[emoji1787]
 
Mademu wengi wa Jf ni walevi tupu... kuna jamaa mmoja nilikutana nae was Jf yule jamaa alipeleka mahali anapiga vyupa balaa kulewa halewi, nikalipa bili kimya kimya nikasepa.. sas naanza kuingia wasiwasi na mademu wa Jf
 
Didnt mean in a bad way...nimeandika kwa kuvumisha tu kutumia ngeli ya ki-vi

Vigezo nimeandika hapo tayari mbona, uzuri sio ishu sana..


Cabin Crew | Emirates Group Careers
Najua ulichomaanisha boss Wala usiwe na shaka..Ni vile tu napenda kufurahi na uwasikishaji wako wa hoja ukanichekesha[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom