Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah wetu wa kawaida wale wa mashirika makubwa duniani ndiyo wazuri kama wamechorwa

Unasomea chochote ila ndiyo ujue lugha zaidi ya moja kwa hapa kwetu nasikia ni mbili tu kiswahili na kiingereza ndiyo lazima lakini kwa hayo mashirika makubwa nasikia ni lugha sita za kimataifa of which unasomea tu
Ila wa kwetu tz mbona Ni wa kawaida tu.

Halafu hivi wale watu wanasomeaga Kitu gani Hadi kupata zile nafasi eti
 
Yeah wetu wa kawaida wale wa mashirika makubwa duniani ndiyo wazuri kama wamechorwa

Unasomea chochote ila ndiyo ujue lugha zaidi ya moja kwa hapa kwetu nasikia ni mbili tu kiswahili na kiingereza ndiyo lazima lakini kwa hayo mashirika makubwa nasikia ni lugha sita za kimataifa of which unasomea tu
Kumbe.
Nitaenda na Mimi kujaribu bahati[emoji1787]

Ila badala ya kuhudumia abiria nahisi wao watanihudumia Mimi Maana ntakuwa naugua tu humo angani[emoji23]
 
Duh hongera sana aise
Nina Hadi mswaafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Napenda kujifunza mambo mengi hasa kuhusu dini.
Bado haijakaa kichwani ila najitahidi kuiweka..na alhamdulilah najua kuandika siku hizi ile lugha Yao[emoji23][emoji23].
Mwanzo ilikuwa kasheshe kuandika toka kulia kwenda kushoto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli huko siasani acha vinipite tu,, MMU kwenyewe tu jukwaa langu pendwa naona uvivu kuingia nashinda huku sembuse huko siasani??
Ilikuwa mwezi uliopita nadhani.
Engine ilifeli...ilikuwa maeneo ya tabora..ikabidi irudi kutua dar Maana Dom hakuna uwanja unaoeleweka.

Utasikiaje Kama hauji kule siasani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pale unapojikuta ndio mlevi pekee tena asubuhi [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20191106_105935_4.jpeg
 
Back
Top Bottom