Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Daah aise sijasikia hiyo yaani ningekuwepo ningefurahi sana
Wewe una bangi kichwani sio Bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukazunguke na li Etihad [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..kwanza ujasiri wa kufurahi unautoa wapi chombo kimeshindwa kutua[emoji23][emoji23][emoji23].
Nina wasiwasi ulitamani juzi Kati ungekuwa kwenye air tz iliyokuwa ikienda mwanza iliyopata hitilafu na kurudi kutua dar