cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Yeess leo ni ndoa.Ilikua juz, leo wedding
Yeess leo ni ndoa.Ilikua juz, leo wedding
Hongera aseeeh, uko vizuri dea.English medium tu
Sema ndo hivyo tulikuwa tunaongea sana na

Umenichekesha sanaa khaa 😆😆😀
Kwan dear, kweli nna infinix fake, kuna mtu aliwahi nichamba hivyooUmenichekesha sanaa khaa![]()
HapanaLekchaaaa uko Tik tok???![]()

Jamani kwani alijuaje kuwa ni fake?Kwan dear, kweli nna infinix fake, kuna mtu aliwahi nichamba hivyoo
Asante dear japo kawaida mnoHongera aseeeh, uko vizuri dea.![]()
Bibi harusi kalia huyoo mpaka basiBillnass na Nandy😍
Jaman itakua yuko emotional sana, all the best kwao.Bibi harusi kalia huyoo mpaka basi
Kwenye uzuri tuwaachieni nyie aunt 😂kwenye kupika ndo penyew napenda kujipikilisha mnour blessed
mzuri n unajua kupika😍😍
Mchungaji nae akaamua kutoa ya moyoni kuhusu swala la kufunga ndoa huku mtu akiwa mjamzitoJaman itakua yuko emotional sana, all the best kwao.
I wish ningekua karibu na tv niangalie
Yupo kama mm huyo mwanaumeCoca nimeshapata Hela ya cm
Kuna wanaume jmn
Kaongea ukweli mtupuMchungaji nae akaamua kutoa ya moyoni kuhusu swala la kufunga ndoa huku mtu akiwa mjamzito
Anadai kwamba ndoa hiyo inafungwa si ya watu wawili bali watatu, hivyo ni sawa na mtoto kafunga ndoa na wazazi wake na ni laana inatengenezwa maana mtoto kaoa au kuolewa na baba na mama yake
Ila pia wanaweza kutubu ili laana kama hiyo isimpate mtoto
Nadhani vijana walio kuwa pale kuna kitu wamejifunza kupitia kauli ile
Mbona mm nipo pure kama huyo wa TinaSio mbaya
He got a special heart .. abarikiwe
We need men like him in today's world
I pray you find love .. which is pure
Amen![]()

Mmh mbona kama mchungaji hajafanya vzuri kuongea hayo maneno ni mazito sana na yanaumiza hasa kwa siku yao ya leo ambayo ni ya furaha.Mchungaji nae akaamua kutoa ya moyoni kuhusu swala la kufunga ndoa huku mtu akiwa mjamzito