Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hongera aisee
Kumbe upo vyedi
Hongera aisee
AmenAmen
1 Thessalonians 5:11
Therefore encourage one another and build each other up, just as in fact you are doing."
Tupeane moyo na kusapotiana hapa na pale
I'm rooting for you love
Thank you for appreciating![]()
Nakweli mambo ya imani nikuyaacha kama yalivyoMmh mbona kama mchungaji hajafanya vzuri kuongea hayo maneno ni mazito sana na yanaumiza hasa kwa siku yao ya leo ambayo ni ya furaha.
Hayo angewaambia kipindi wameenda kuandikisha ndoa.
But anyway mambo ya imani ni mapana sana.
Kabisa dearNakweli mambo ya imani nikuyaacha kama yalivyo
Selfika bhas
Najua unachowaza
Lkn siooo hata
Uko vizuri ndugu
WeeeeWee mama abiud, Hebu kachukue 14 pro kaliii, utetemeshe uziiiii.
Noumaaaaah hiyoo.

Mspoil wifi yetu hadi aone dunia yote yake
Alikua ananitania tyuuh,Jamani kwani alijuaje kuwa ni fake?







TulishaachanaMspoil wifi yetu hadi aone dunia yote yake
Nyie Nandy ana haki ya kulia, kapitia mengi mnooo.Bibi harusi kalia huyoo mpaka basi







Nakuaminia

Mmeanza mambo yenu khaaaah,Maneno yenye ukweli Ila machungu unafungaje ndoa una mimba billnas anawza Ile mimba isije kuwa ya papaa mukulu mopao koffie
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nyie Nandy ana haki ya kulia, kapitia mengi mnooo.
Ila ndoa tamuu, ukiona leo vile unaweza shawishi mtoto wa mama mkwe muende kanisani mkaape.
![]()






