Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weeeee watalipa kweli nimenotice majina yao watakuta madeni kwenye clearance Najua hawa wanaochukua kemia /Phys wamechujwa ipasavyo so kama wote lazima watafaulu walau na watakuja kuclear tu!
Pract ndo inabeba wengi kutoka O level kwenda advance, hakuna kufeli. Mie maabara niliiba taste tube,
 
Yeah inawabeba sana!
Ulikua ka jambaka
kwanza nilikua na fujo labs mie, situlii mara nimegusa hiki, kuna wakati nilichukua vi odds fulan vipo km unga unga, vilikua kwa chombo kidogo km ki plastic cha kunyweshea watoto dawa, nisilambe vile unga unga, vina ladha fulan km glucose, ila harufu yake muda huo huo kichefu chefu,

Bhanaa nkakaa km masaa hivi, ulimi ulikua unawaka motooo, nilihisi nakufaa, afu sijawahi sema, hata sielew ilikua nn, km kufa bas ningekufa. Wallah.

 
Back
Top Bottom