Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

eeh ishu ya kula inaanza pale wachukua mahesabu labda wakaamua mugawaine iliyozid [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] but siko sure

ila wanafaidi sana mwaya
Wanafaidi mnooo, bursaries hasa January na July.
 
Ama kweli kizunguzungu kimenichanganya
Mpaka kimenipa wazimu
Shiishi kwanza kunywa sumu
Sababu ya huyu brotherman

Ufungue moyo
Naukabidhi kwako uwe wako
Wewe ndo nyota
Nuru yangu
Mwanga wangu

Utalosema nitasema "ndiyo"
Kama baya nitasima "siyo"
Mara chache mpenzi
Kukataa asemalo
Nifurahie baby
Kwa kila zuri utendalo

Ni wewe nilokuona mbele ya macho yangu
Niwewe
Uniliwaze
Nisiwaze
Umezaliwa wewe uwe wangu[emoji3590]View attachment 2290490

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kumekuchaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kwanini sikumjua mapema kweli nimependa
She's handsome,and gentleman come on[emoji91]
Kweli nimpenda[emoji23]
Remix yangu

Oxstar ft Alikiba[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2290509

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hii ngoma ni kareee kinoumaaaa, nimekumbuka Disco Buhemba.
Hatareee hiyo, [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Back
Top Bottom