Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watoto wanamideko sikuhizi acha tu!!
Mimi hadi nyumbani huwa siwezi kumfundisha mtoto[emoji23],,mkono mwepesi sana kurusha vibao.


Nimekumbuka mwalimu wangu fulani kwenye monthly test alikuwa anapita anachungulia unachoandika..kama umekosea anakulangua na vibao [emoji1787]Kimbembe unakuta huelewi ulipokosea.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom