Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552


🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! ulisahau Don't eat in the laboratory 🤣😂😂😂🤣🤣!!kwanza nilikua na fujo labs mie, situlii mara nimegusa hiki, kuna wakati nilichukua vi odds fulan vipo km unga unga, vilikua kwa chombo kidogo km ki plastic cha kunyweshea watoto dawa, nisilambe vile unga unga, vina ladha fulan km glucose, ila harufu yake muda huo huo kichefu chefu,
Bhanaa nkakaa km masaa hivi, ulimi ulikua unawaka motooo, nilihisi nakufaa, afu sijawahi sema, hata sielew ilikua nn, km kufa bas ningekufa. Wallah.
![]()
Ni ngoma ya Rachel hiyo,
Siyo maneno yangu![]()



na umekariri haswaaa.Aah kuna ile practical ya classofication sir analeta specimen za maembe😅😅😅😅😅😅😅😅 after practiacal tunayala 😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! ulisahau Don't eat in the laboratory 🤣😂😂😂🤣🤣!!
Wewee hatareeee😂🤭
Ila aunt🤣🤣
Acha nikupe passwrd ya netflixsrow bak sazdeiView attachment 2290714

nigaie 🥳🥳Acha nikupe passwrd ya netflix![]()
Kipindi hicho nasikiza sana hizo nyimbona umekariri haswaaa.
!! ulisahau Don't eat in the laboratory
!!
Wewee hatareeee![]()





shougaaaa nilikoma, ulimi unawaka utasema kaa la moto limewekwa juu ya ulimi, bas mda ote nautoa nje afu nafanya km kupuliza upate baridi, nikirudisha ndani tyuuh wee hadi nataman kuunyofoa kabisaa. 






Acha uongo weweshougaaaa nilikoma, ulimi unawaka utasema kaa la moto limewekwa juu ya ulimi, bas mda ote nautoa nje afu nafanya km kupuliza upate baridi, nikirudisha ndani tyuuh wee hadi nataman kuunyofoa kabisaa.
Sasa nikawa nawaza sio utumbo ndani unakatika, nkawa najisemea km kufa bas nife ila sisemi km nililamba kitu labs, nashukuruu baada ya mda ulimi ulitulia,
![]()

Sikuhizi practicals dent asipoleta vitu vya kufanyia pract akija kufanya clearance anapigwa parefuuuuui🤣🤣😂😂🤣🤣Aah kuna ile practical ya classofication sir analeta specimen za maembe😅😅😅😅😅😅😅😅 after practiacal tunayala 😅😅😅😅😅😅😅
Wewe najua mzoefu wa baridi maana ile ya Tukuyu ni kali zaidi ni tahadhali tu nilikupa nkamu, maana hali ya hewa ya Atown ni ya kubadilika badilika na msimu huu ni wa baridi hasa uko poriniusiniambie!! uwii na nimebeba sweta moja tu for emergency
Huko bios ndo ilikua vurugu match, aliletwa Mdede, (Panzi) sijui ndo yeye, mbna nilimuua kabla ya experiment,Aah kuna ile practical ya classofication sir analeta specimen za maembeafter practiacal tunayala
![]()






yaan namminyaa hadi akatoa utumbo nje. 






Uunt si ulishalala weweIla aunt🤣🤣
Hahahahaaaa...pole shoss ulizidi utundu Nawewe 😂😂🤣!shougaaaa nilikoma, ulimi unawaka utasema kaa la moto limewekwa juu ya ulimi, bas mda ote nautoa nje afu nafanya km kupuliza upate baridi, nikirudisha ndani tyuuh wee hadi nataman kuunyofoa kabisaa.
Sasa nikawa nawaza sio utumbo ndani unakatika, nkawa najisemea km kufa bas nife ila sisemi km nililamba kitu labs, nashukuruu baada ya mda ulimi ulitulia,
![]()
Wallah nikikumbuka huwa nasema, km zile kemikali bas hazina madhara, vinginevyo ningedhurika vibayaa.Hahahahaaaa...pole shoss ulizidi utundu Nawewe!






Nunua charger OG, acha kubebanishaa km kijana wa 1St yr.






. Kichwa cheusi, USB nyeupeee woiiiiiiiih. Mm Bado kabisa🤣Uunt si ulishalala wewe
Nani kakuamsha??
Mida yetu hii vijana🤣🤣🤣🤣🤣🤣