Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jana ilikua Kemia Dr!!👇
madogo walikua wanatetemeka hadi wengine wakavunja vifaa!!
Ningekuwa Mimi ndy nimevunja hizo mambo ningeenda home Kusema nadaiwa hela ya apparatuses au nimevunja laboratory kisha narudi shule nimejaa mihela 😅😅

Wengine Wazazi wetu wa zamani elimu ilipita kushoto kidogo
 
Naona naona!! Dizain unapotezwa/ unafichwa tunakumiss mpaka tunaumwa sie!!
Halahala asitupotezee Anne wetu sie!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napunguza muda wa kukaa humu shetani asije niharibia mambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ningekuwa Mimi ndy nimevunja hizo mambo ningeenda home Kusema nadaiwa hela ya apparatuses au nimevunja laboratory kisha narudi shule nimejaa mihela 😅😅

Wengine Wazazi wetu wa zamani elimu ilipita kushoto kidogo
Weeeee watalipa kweli nimenotice majina yao watakuta madeni kwenye clearance Najua hawa wanaochukua kemia /Phys wamechujwa ipasavyo so kama wote lazima watafaulu walau na watakuja kuclear tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napunguza muda wa kukaa humu shetani asije niharibia mambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
At least saivi dizain umekua mamaa much congrats!!👏👏👏👏👏!!
Mabadiliko yapo!!
 
Back
Top Bottom