Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Ahhh wapi 🙃Watoto wa kishua
Anza wewe basi......🙂Tubless basi nakaselfie!
AiseeBamia inaongeza utelezi ukeni Kwa wale wenye uje mkavu au wwnaokaribia menopause..Ni nzuri Sana ikilowekwa kwenye maji kisha ukawa unakunywa km supu
Au nasema uongo D?![]()
Nimewaza hilo tako la mgongoni lilivyoNatamani nimuone hiyo paka mwenye mawazo anafananaje![]()



La khumbu lilikuwa linaning’iniaNimewaza hilo tako la mgongoni lilivyo
Sijui kama la khumbu![]()
Karibu mjini dogoAma kweli kizunguzungu kimenichanganya
Mpaka kimenipa wazimu
Shiishi kwanza kunywa sumu
Sababu ya huyu brotherman
Ufungue moyo
Naukabidhi kwako uwe wako
Wewe ndo nyota
Nuru yangu
Mwanga wangu
Utalosema nitasema "ndiyo"
Kama baya nitasima "siyo"
Mara chache mpenzi
Kukataa asemalo
Nifurahie baby
Kwa kila zuri utendalo
Ni wewe nilokuona mbele ya macho yangu
Niwewe
Uniliwaze
Nisiwaze
Umezaliwa wewe uwe wanguView attachment 2290490
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kupatwa kwa Saint AnneHivi kwanini sikumjua mapema kweli nimependa
She's handsome,and gentleman come on
Kweli nimpenda
Remix yangu
Oxstar ft AlikibaView attachment 2290509
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Una ka kiuno flan hivi
Shendwaaa pepo
Napunguza muda wa kukaa humu shetani asije niharibia mambo
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hadi sasa ngapi ngapi huko?
Umefufuka?Karibu mjini dogo
Mwakani Junia anaanza kwenda day care.
Cha mchongoUna ka kiuno flan hivi
Nakutazama tu
Ushindwe mwenyeweShendwaaa pepo
Bata bata tu Nkamu wetu.