Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,196
Ndioo ndiiooooo!!!Ama kweli kizunguzungu kimenichanganya
Mpaka kimenipa wazimu
Shiishi kwanza kunywa sumu
Sababu ya huyu brotherman
Ufungue moyo
Naukabidhi kwako uwe wako
Wewe ndo nyota
Nuru yangu
Mwanga wangu
Utalosema nitasema "ndiyo"
Kama baya nitasima "siyo"
Mara chache mpenzi
Kukataa asemalo
Nifurahie baby
Kwa kila zuri utendalo
Ni wewe nilokuona mbele ya macho yangu
Niwewe
Uniliwaze
Nisiwaze
Umezaliwa wewe uwe wanguView attachment 2290490
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app





!







!!