cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,288
- 187,945
Mrembooooooh.Helloowww!!
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nimependa hair cuttin.
Mrembooooooh.Helloowww!!
Nimesuka sema kichwani nimevaa wavu wa kulalia!!Mrembooooooh.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nimependa hair cuttin.
Mie napenda matosani niyapike km makaba, yuu nou??Nipo hapa kusubiri matosa ninywe chai[emoji23]
Shangaz naona vitu vigeni nimebaki nimeduwaa😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi umechachuka.
Mweee mbna km n hair cuttin, ila uko vizuri mremboooo.Nimesuka sema kichwani nimevaa wavu wa kulalia!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi bhanaaa, nimecheka mnooo.Shangaz naona vitu vigeni nimebaki nimeduwaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia kuna nyingine inaitwa jilegeze kama umefiwa na Bibi Yako 😂aunt Watu wasiri mno hawasemi tukiachwa wanatusimanga 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi bhanaaa, nimecheka mnooo.
Kuna style za kila aina. Ni wee ushindwe kutumia hapo sasa.
Katoto nimekapenda[emoji3590]Nilicrop hii picha!
Coca jumapili kwenye kipindi cha BIG SUNDAY LIVE cha wasafi TV hivi Yule ambaye alikuwa anakatika Sana mbele ya gigy money binti Fulani hivi mweupe tall hivi ni km wewe[emoji3][emoji3]..Niliuliza nikaambiwa hawa ni watoto wa UDmawardat
Twende town tukazurureee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu tunaenda kupumzika majengo mnadani kuleee.
My little Angel!!♥️
Haya ndy majani ya viazi?Ooh niwekee chips yai ya kushiba, na zao la viazi hujui lafananiaje Lenie View attachment 2289775
Hongera sanaMy little Angel!![emoji3531]
Bamia inaongeza utelezi ukeni Kwa wale wenye uje mkavu au wwnaokaribia menopause..Ni nzuri Sana ikilowekwa kwenye maji kisha ukawa unakunywa km supuOoh napenda bamia… bamia ni nzuri kwa mwanamke,, na hujui mbamia ukoje.. Lenie View attachment 2289778
Amina dada!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi utafia kifuani kwa ankoli, usijisumbue kabisaaa, relaaaaax.Nasikia kuna nyingine inaitwa jilegeze kama umefiwa na Bibi Yako [emoji23]aunt Watu wasiri mno hawasemi tukiachwa wanatusimanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lenie nakusalimiaShoga angu nikwambie tu ukweli maana ukweli humuweka mtu huru[emoji23]
Kwakweli upole wewe? mmh hapana una chembechembe flani hivi za ukorofi[emoji28]
Unakuaga mpole labda zile siku ambazo umefulia huna hela.
Huyo cuzzo namuunga mikono yote miwili[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaa, sio mie.Coca jumapili kwenye kipindi cha BIG SUNDAY LIVE cha wasafi TV hivi Yule ambaye alikuwa anakatika Sana mbele ya gigy money binti Fulani hivi mweupe tall hivi ni km wewe[emoji3][emoji3]..Niliuliza nikaambiwa hawa ni watoto wa UD
Ankol wako anajua mm nahurubi mazish ya wadudu tu mapambio hayajawah kuisha 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi utafia kifuani kwa ankoli, usijisumbue kabisaaa, relaaaaax.
Shikamoo babu!
Unafanya kazi na earpods masikioni? Wallahi nakufukuza ofsini kwangu [emoji3]8 minutes ago na walikuwa hawajaiweka [emoji847]View attachment 2289793