Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,514
- 235,218
Nimecheka usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah
Nimecheka usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
i cant get enough i guess
Abroad hiyo
A big fat lie mkuu
EeeehMmh kisa umeona Rovos??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sio mwenzio.
2005 nilikuwa namaliza high school pale mwakaleli [emoji23]
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sio mwenzio.
2005 nilikuwa namaliza high school pale mwakaleli [emoji23]
Kweli Ana wenge huyu[emoji1787]
A big fat lie mkuu
MkuuHaya
Nimecheka usingizini
Nitajitahidi Leo nisiingie kwenye huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani tunaanza kuvunjana mbavu asubuhi asubuhi hii hadi ifike jioni sijui tutakuwa kwenye hali gani
Dogo acha kuchekesha walionuna[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usitake nisimulie hapa namna nilivyokuwa nakubadilisha nepi huo mwaka,, enzi hizo hauna jino hata moja..
Nani huyu kati ya hio miamba miwili??
Mwili wa binadamu kichwa cha emojiDooh nimeangalia hizi picha ndiyo nikajiona kweli mimi ni mnene ninyi mnaosema mimi siyo mnene Mungu anawaona mjue[emoji16][emoji16]
Denvers unaipata hiyo chuma hapo nyuma??View attachment 1255181View attachment 1255182
Good Lord have mercy!!nimeona comments zenu View attachment 1254778
Ningetaka kujipa ujiko ningesema kweli ni abroad ila ni vile tu haina maana,, Rovos huwa inakuja bongo kila mwaka mkuu na siku hiyo ilikuwa kama zali tu tumeingia kutoka mbeya tunaikuta pale tazara dar imepark ndiyo inajiandaa kuondoka huwa haikai sana hapa na ni bahati kuiona maana inakujaga bongo mara moja moja ndiyo maana nikaona nichukue tupicha twa ukumbusho maana moja ya ndoto zangu ni kuja kuipanda siku moja..Eeeeh
nimeona comments zenu View attachment 1254778