Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Chakula kizuri hakikifu kula..Si umeshaziona eti jamani??
Ni siku zimepita sasa
Chakula kizuri hakikifu kula..Si umeshaziona eti jamani??



sina zimeisha kwa gallery
Chakula kizuri hakikifu kula..
Ni siku zimepita sasa
tuende wapi zaidi ya kwa nyerere hapa hapa dada akeUko hapa hapa bongo mkuu??
Uchoyosina zimeisha kwa gallery
Greetings Sis.. Dubei si mpaka tupate vibali maalumu!!Hivi ule mpango wa kunipeleka dubei ndo umekufwa au? Nataka na mimi nilepo kwa kijiko na uma




Mara ngapi unaalikwa unaringa..Mmmh!! Na mimi nakulaga.
Sorry, sikuwa naifikia JF kwa siku kadhaa...@Watu8 where are you?
Hahahahahaah
Umenifanya nimekumbuka Masawe wa ze comedy
Wewe mjeda hunitakii mema


tuende wapi zaidi ya kwa nyerere hapa hapa dada ake
Jamani jamani, ule mualiko sikuringa brother, sikuwa around kwa wakati ule.Mara ngapi unaalikwa unaringa..
Remember that time nimekualika mbuzi Machame!! I miss you sis
Mkeo kakwapuliwa.Sorry, sikuwa naifikia JF kwa siku kadhaa...
Nini kinaendelea hapa?
Hahahaaa nishamshushia tiyari Jana usiku. afu Mimi sina mkono wa kupiga ujue.Wewe mjeda hunitakii mema
Unataka nizishushe picha zako ili unipe kipondo eeh!?
Ameeeeen🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽Good morning,, I bless your morning in Jesus' name..Amen
Hahahaaa nishamshushia tiyari Jana usiku. afu Mimi sina mkono wa kupiga ujue.
Full mapicha ya masuaruali, yale mabuga