cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,127
- 181,186
Wanakera mnooo.sipendi raia wanao screenshot status za wenzao na kuziweka status kwao

Wanakera mnooo.sipendi raia wanao screenshot status za wenzao na kuziweka status kwao

Itakuwa majukumu yamembanaAngekuwepo babu yangu SYB hapa,angekuwa ananiadithia adithi za kale
Yupo jf kila siku hapa tu,hapapitiItakuwa majukumu yamembana
Nina tusiku kama tuwili au tutatu
Sijamuona humu
Ile sukari sio mchezo😂nilipiga tatuUlilewa na mirinda nyeusi![]()
Na wewe piaGood morning diaz..
Blessings to everything you put your hand..
Mkawe na week yenye baraka tele![]()
Ebu tumuone mpiga picha kutoka nyanda za juu kusiniFav combo Lenie
Sugar, milo & nido
Inakuwa kama ka drinking chocolate flani hivi… View attachment 2286831
Good morningGood morning diaz..
Blessings to everything you put your hand..
Mkawe na week yenye baraka tele 🙏
Huo utamu wake hapo i can imagine😋😋😋Fav combo Lenie
Sugar, milo & nido
Inakuwa kama ka drinking chocolate flani hivi… View attachment 2286831
Amen mtumishi.Good morning diaz..
Blessings to everything you put your hand..
Mkawe na week yenye baraka tele 🙏
Tumuone mpiga picha kutoka kaskazini tafadhali
Kashiba kaenda chimbo kulala, utamuona badaeTumuone mpiga picha kutoka kaskazini tafadhali
Unaitwa I love you_walioimba ni Kwaya ya Mtakatifu Teresia.
Nimefurahi kuona mwandiko wako hapa mdogo wangu, umemisika sanaUnaitwa I love you_walioimba ni Kwaya ya Mtakatifu Teresia.