Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
ChuchungeUnaitwa I love you_walioimba ni Kwaya ya Mtakatifu Teresia.
Ulifichwa wapi


ChuchungeUnaitwa I love you_walioimba ni Kwaya ya Mtakatifu Teresia.


KumbeZimewasukuma madogo wakati huu wa mabando ya UE.
Ubarikiwe.
Nilikuja tu Bahati mbaya/nzuri nikakutana nazo.
Mimi ambaye hajanikaribisha nyama naye ajiandae.
Yaani sherehe ya kuchinja eti nimetoka bilabila..nikala maharage,,,waislam Mbinguni hamuendi![]()



Asante mwaya 😍Unaitwa I love you_walioimba ni Kwaya ya Mtakatifu Teresia.
Nione kidole kama kimepona 😉
Nione kidole kama kimepona 😉
Nasubiri hapa sitoki hadi nione 😉😉Kesho ntakuonyesha ☺
Nilisahau kukutag jamani 😂😂
Jaman Sema umekula kidogo kande mm nakulaga kande hotpot Zima yani hapa silali mpka nizipate mlichonifanyia sio poaNilisahau kukutag jamani
Kande hoyeee


