Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,752
- 10,027
sawa 🥺🥺Mambo yameingiliana mdogo wangu!!!😌!
sawa 🥺🥺Mambo yameingiliana mdogo wangu!!!😌!
Vyote[emoji4]Hapa ni gereji au car wash? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mtoto anajua ya mtaani[emoji28]Gereji ya nyumbani
Unastuka nini?[emoji4]Uwiiiiiih bas lect ana hatareee.
EeeeHuyu mtoto anajua ya mtaani[emoji28]
Andaa Bajeti ya wastani ya shilingi 625,000 ukakae walau siku 3 hivi.Sijui lini nije kushangaa huko
Wow 😘😘😘Kwa hisani ya Mr vocha Mjep View attachment 2286302
Hotel 35??Andaa Bajeti ya wastani ya shilingi 625,000 ukakae walau siku 3 hivi.
Nauli ya bus DSM - Mwanza 75,000 x 2=150,000
Hotel 35,000 x 3 =105,000
Chakula + vinywaji 40,000 x 4 =160,000
Nauli ya Bolt/Uber 20,000 x 3 =60,000
Shopping L/S =100,000
Contingency =50,000
Utalii mwema [emoji124][emoji124][emoji124]
Hiyo ni roughly estimate ndiyo maana kuna contingency money chief.Hotel 35??![]()
Haujapendeza[emoji21]Eid Mubarak View attachment 2286592
Babu wa mchongo habari yako[emoji2321]Andaa Bajeti ya wastani ya shilingi 625,000 ukakae walau siku 3 hivi.
Nauli ya bus DSM - Mwanza 75,000 x 2=150,000
Hotel 35,000 x 3 =105,000
Chakula + vinywaji 40,000 x 4 =160,000
Nauli ya Bolt/Uber 20,000 x 3 =60,000
Shopping L/S =100,000
Contingency =50,000
Utalii mwema [emoji124][emoji124][emoji124]
Hazinipendezagi hizi hata mimi najuaHaujapendeza[emoji21]
Kipi kinakushawishi kuvaa hizo?Hazinipendezagi hizi hata mimi najua
Kipi kinakushawishi kuvaa hizo
Ooooh hongera,,,,,maana hata sijaielewaSikukuu leo
I miss you tooOoooh hongera,,,,,maana hata sijaielewa
Tumechinja skukuu yafaa nyumban tumepata meeAhsante
Leo umechinja nini
nakuona shemeji wa mchongoma