Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Good morning 💚
 

Attachments

  • IMG_20220705_080534_948.jpg
    IMG_20220705_080534_948.jpg
    1.3 MB · Views: 8
Mungu ni pendo
Apenda watu.

Kwa niaba ya wakurugenzi wenzangu graduate,nasema utunzwe na Mungu.
Jana niliwaokotea kadhaa humu.
Nasubiri salamu za mama mchungaji Heaven Sent hajaonekana siku kadhaa hapa nayeye sitoshangaa akija na kusema aliokota kadhaa
Hongera kwa hizo ulizookota zilikua salamu za Idd
Naamini mwezi wa 12 hutaninyima mwaliko kama Lenie anavyokusudia kufanya🤣🤣🤣
 
Nasubiri salamu za mama mchungaji Heaven Sent hajaonekana siku kadhaa hapa nayeye sitoshangaa akija na kusema aliokota kadhaa
Hongera kwa hizo ulizookota zilikua salamu za Idd
Naamini mwezi wa 12 hutaninyima mwaliko kama Lenie anavyokusudia kufanya🤣🤣🤣
Zimewasukuma madogo wakati huu wa mabando ya UE.
Ubarikiwe.
Nilikuja tu Bahati mbaya/nzuri nikakutana nazo.

Mimi ambaye hajanikaribisha nyama naye ajiandae.
Yaani sherehe ya kuchinja eti nimetoka bilabila..nikala maharage,,,waislam Mbinguni hamuendi🤣
 
“You and I have floated here on the stream that brings from the fount.
At the heart of time, love of one for another.
We have played along side millions of lovers,
Shared in the same shy sweetness of meeting,
the distressful tears of farewell,
Old love but in shapes that renew and renew forever.

Today it is heaped at your feet, it has found its end in you
The love of all man's days both past and forever:
Universal joy, universal sorrow, universal life.
The memories of all loves merging with this one love of ours -
And the songs of every poet past and forever.”

Screenshot_20220711-125742.jpg
 
Back
Top Bottom