Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
NiulizeKuna swali
Hujajibu bado
Was katiKati ya watatu pichani
Wewe ni yupi[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.Tz sie ni waoga[emoji23],,,
[emoji3061][emoji3061]Oh sawa
Ngoja nitazame kwa uzuri tena
[emoji23][emoji23][emoji23] we iache wakiona sio kesi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.
Ila duniani watu wagomvi, nacheka tsup, kuna post nimeweka watu wanavyomiminika kuuliza
Hii post kesho naifuta kabla wazazi hawajaiona. Itakua balaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine washatunga yao[emoji23]Nimepost hivi.
"Huyu mtoto wa mama mkwe mambo anayonifanyia, yaan akiongeza kiduchu yaan kiduchu tyuuh, naacha chuo" nikaweka vi emoji vya kopa kopa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bhana wee, Replies zinamiminika km mvua, hizo text sasa, ndo nko hoi kwa kucheka.
Watu wanauliza hata havihusiki lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambia watu nimewa suprise leo sikukuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine washatunga yao[emoji23]
Kweli unakesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine washatunga yao[emoji23]
Mtawa wa st peramiho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambia watu nimewa suprise leo sikukuu.
Kuna huyu M1 anasemaje, kwani dunia ina siri? Iko siku utampost kabisaa, na tunasubiri kumjua. Huu mwanzo mbna, siri iko karibu kuwa hadharani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],hawajui mie nawarusha roho, ila watu wambea, wanajazana kuuliza kumjua mtoto wa mama mkwe, akati mie ni mtawaa.
Leo silali,natafuta chimbo nikakeshe[emoji23]Kweli unakesha
Nimekubali
Ka moyo kame lipukaLeo silali,natafuta chimbo nikakeshe[emoji23]
Angekuwepo babu yangu SYB hapa,angekuwa ananiadithia adithi za kaleKa moyo kame lipuka
Basi sawa mie nazurura tu humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapa cna mbavu, watu wana reply nashindwa hata niijibu ipi,Mtawa wa st peramiho[emoji23][emoji23]
Hapo hawalali,wanaitana kabisa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]wenzio wanasubiri umwage mchele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapa cna mbavu, watu wana reply nashindwa hata niijibu ipi,
Kuna m1 kanichekesha, eti "kumekuchaaa hayawi hayawi, sasa yamekua, Kwan mapenzi yana siri, tena aongeze ili tumjue na sie khaa,tumechoka kuwa na tetesi na duku duku"
Kesho chuo nitakua gumzo,naon class itakua kunijadili mie tyuh.
Ila mie nna heka heka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah leo nimeamini binadamu wanakaa vitu moyoni, yaan hadi tetesi na duku duku wanazo kabisaa, ila mwenyewe sijui, wananichora tyuuh.[emoji23][emoji23][emoji23]wenzio wanasubiri umwage mchele[emoji23][emoji23]
Mtoto wa mama mkwa aongeze nasaongeze nasema aongeze[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sipendi raia wanao screenshot status za wenzao na kuziweka status kwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah leo nimeamini binadamu wanakaa vitu moyoni, yaan hadi tetesi na duku duku wanazo kabisaa, ila mwenyewe sijui, wananichora tyuuh.
Nshaifuta status, maana hawakawii ku screenshot, wabongo hawajambo kwa ubuyuu. Leo nimejua kuwarusha roho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]