myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
😄😄Huo mguu kipenziiiii, hakna anaechomoa hapo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
😄😄Huo mguu kipenziiiii, hakna anaechomoa hapo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Guu la binti yangu hili jamaniiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Hivi leo si ndio TbT
View attachment 2277739
NaamHahahahah kama nakuona pampula
🤣🤣🤣 sawa..Haya chap futa huo mguno
🫣🫣
Umemuita BabuNimecheka mnooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu babuuuh kuna mchongo m1 nimeupata, jinsi ya kuvukia huko mambelee. Sema siamini sana. Nilihitaji ufafanuzi kutoka kwako.
Sema naogopa km ntakukwaza au kukuvunjia heshima.
Eeh unaye rafiki [emoji23][emoji23]Kumbe nina shemeji
Na hujawahi kuniambia[emoji848][emoji849]
Huu wimbo hauna kibwagizo kileMoyo niache, mi leo nifurahi
Nilipotoka majanga noma nishai
Moyo nyumbani staki kuwahi
Maana mpaka kwa Mangi ananidai.
Nataka nileewe mpaka asubuhi
Niwee sijitambui
Nileewe mpaka asubuhi
Niwee sijitambui
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti yangu.Jitahidini kutunza vipande kesho nitapost nywele[emoji16][emoji16]View attachment 2277745
Du mi laiki iti izi mai bethidei[emoji445][emoji445][emoji445] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Huu wimbo hauna kibwagizo kile
Kifo cha mende chalii[emoji848]
[emoji2321]Siyo guu la bia tu hili ni guu la Champagne [emoji3060] uko vizuri
Yupo humu au huko mtaani[emoji848]Eeh unaye rafiki [emoji23][emoji23]
Yupo mtaaniYupo humu au huko mtaani[emoji848]
Halafu hiyo 'rafiki'
Toka lini[emoji848]
Ntakuja kesho babuuuh. Serious.Mbona tayari nahisi kama ni mchongo feki?
Sina heshima ya kuvunjiwa mimi mitandaoni humu maana sina mtu anayenifahamu personally; na nipo kujifurahisha tu. Kama ni ishu genuine njoo tu mjukuu wala usiogope.
Nikufungulie PM?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie muongo?[emoji1][emoji1]
Nnazo za kutoshaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemuita Babu
Halafu unamuogopa tena[emoji848]
Busara hekima zimejaa pomoni
Hapo
Guuuu😍Jitahidini kutunza vipande kesho nitapost nywele😁😁View attachment 2277745
MremboNaked!!!!!!!!!!!
ZzzzzzzzzzzzzzView attachment 2277774
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] dea umeiwahi wee,Mrembo
[emoji1544] [emoji7][emoji7]