Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Referee anakuandikia 3 pages letter,, unapendwa kiasi gani
Niliongea nao.

Wana uhusiano wa karibu na hao recommenders. Na wanachofanya hao recommender anakuambia tu hiyo barua uiandike wewe mwenyewe kwa sababu wewe ndiyo unajijua zaidi. Yeye anarekebisha tu kidogo na kuongezea hiki na kile tayari. Wengi wao hata muda hawana na hawezi kukaa ajikunje akuandikie barua ya kurasa tatu.

Hii inaturudisha kule kule - kuwa na mahusiano mema na kujenga ukaribu na watu tunaodhani kuwa ni wa muhimu kwetu.

Sisi hata ukimwambia mtu ajiandikie hiyo barua itabidi tena ujikunje kuirekebisha maana utakuta Kiingereza kibovu hatari; na maelezo shallow tu. Elimu yetu ina matatizo mengi.
 
Okay pale field kuna mtu uliyekuwa unareport kwake .. mfano Mkuu wa idara ya sehemu hiyo

huyo ndo anayefaa maana ameona utendaji wako wa kazi kipindi cha field . Ndo maana inashauriwa wakati wa field tuwe wachapa kazi na watiifu
Ili baaadae uweze kuwa na sifa nzuri .

Japo Mimi nilikuwa kabishi hako kipindi cha field
Walitaka kutufanya wafanyakazi wao (overwork)
Kuhusu hao sio shida, the thing is atakupa?? ,,
Field kuna hali ya kuwa na rebellion flan hv huwa ni Common
 
Niliongea nao.

Wana uhusiano wa karibu na hao recommenders. Na wanachofanya hao recommender anakuambia tu hiyo barua uiandike wewe mwenyewe kwa sababu wewe ndiyo unajijua zaidi. Yeye anarekebisha tu kidogo na kuongezea hiki na kile tayari. Wengi wao hata muda hawana na hawezi kukaa ajikunje akuandikie barua ya kurasa tatu.

Hii inaturudisha kule kule - kuwa na mahusiano mema na kujenga ukaribu na watu tunaodhani kuwa ni wa muhimu kwetu.

Sisi hata ukimwambia mtu ajiandikie hiyo barua itabidi tena ujikunje kuirekebisha maana utakuta Kiingereza kibovu hatari; na maelezo shallow tu. Elimu yetu ina matatizo mengi.
Aaaaaaah,, hapo nimekuelewa sasa
 
😄😄😄😄 English ni tatizo. Nimekumbuka kitu na nimecheka bure.

Kuna mtu natakiwa kumjazi hayo hayo makaratasi yake ameomba kufanya masters mahala. Uzuri deadlin bado ya kutuma hizo barua zao. Yeye anae soma masters nikamuambia ijaze alafu mie kama cha kuongezea kipo utaniambia niitume, anasema english yake sio nzuri kama yangu, mie mwenyewe anae niambia nina ahueni ,,😄😄😄 nimeikimbia kwasababu hizo hizo.. Ila tutafika japo sio haraka
 
Jioni njema wadau
Screenshot_20220630-154145_Instagram.jpg
 
😄😄😄😄 English ni tatizo. Nimekumbuka kitu na nimecheka bure.

Kuna mtu natakiwa kumjazi hayo hayo makaratasi yake ameomba kufanya masters mahala. Uzuri deadlin bado ya kutuma hizo barua zao. Yeye anae soma masters nikamuambia ijaze alafu mie kama cha kuongezea kipo utaniambia niitume, anasema english yake sio nzuri kama yangu, mie mwenyewe anae niambia nina ahueni ,,😄😄😄 nimeikimbia kwasababu hizo hizo.. Ila tutafika japo sio haraka
Lete tumwandikie tu....hata kama ni kurasa 10
 
Back
Top Bottom