Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Aisee na ww ndyo umekazia humo humo kuniumizaNa kapendeza kweli kweli sasa hivi![]()




Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Aisee na ww ndyo umekazia humo humo kuniumizaNa kapendeza kweli kweli sasa hivi![]()




Una uhusiano gani na huyo mtu uliyemwamini kukuandikia recommendation letter? Kama ni profesa alikufundisha una uhakika bado anakukumbuka? Mara ya mwisho uliwasiliana naye lini au mtu hamjawasiliana tangu uondoke chuo na leo ndiyo umekurupuka tu kumtafuta baada ya kuomba kazi inahitaji recommendation.3 pagesmbona wanitisha nisikusanye yangu
AmenEeh uncle fanya namna uende mbele, ivi ndio unataka kwenye U.k au USA![]()
Sure ni muhimu,,,Una uhusiano gani na huyo mtu uliyemwamini kukuandikia recommendation letter? Kama ni profesa alikufundisha una uhakika bado anakukumbuka? Mara ya mwisho uliwasiliana naye lini au mtu hamjawasiliana tangu uondoke chuo na leo ndiyo umekurupuka tu kumtafuta baada ya kuomba kazi inahitaji recommendation.
Jenga tabia ya kuwa karibu na watu wachache unaojua kuwa ni wa muhimu katika maisha yako; na usiwatafute tu pale unapokuwa unawahitaji. Hili ni jambo la muhimu sana maishani.


Ulivyoenda field aliyekuwa anakusuperviseSi ndo mpaka uwe umewahi fanya kazi,, yule ambaye ni fresh undergtad anaandika nani
Aisee kawatoe tu, utawakuta wamegandaItabidi nikawatoe wangu, najisikia vibaya kweli, ila cha ajabu kuna eneo kule kule ni kuna joto huwezi lala umejifunika
🙂Post M-alone ile gari nimeiona ya zawadi yake Depal .. nasubiri go-ahead niipeleke arusha
Miss you!Aisee kawatoe tu, utawakuta wameganda
Kipindi gani kina joto, maana nikiwaza baridi hamu ya kusogea kule sina kabisa.
Haya haya Fateni miongozo hiyoAmen
Popote tu kambi ,
Ikitokea tu fursa unapaa zako
Yule anayekuja kwenye kituo once na kuondoka,, the only thing anachojali afanye assessment yake aondoke,,Ulivyoenda field aliyekuwa anakusupervise
Hakikisha unamcheki kwa mara mara .
Mdeni wake Anne, you were missed pia. Karibu utimilize ahadi ya mdogo anguMiss you!
😄😄 Nimejaza full tank, tena mafuta ya Total , na services imefanyiwa pamoja na checkup kila kona🙂
Huyo atatokomea nalo, subiri kwanza,kesho tafuta mteja atupe pesa, hivi uliweka full tank?
kipenzi ibariki Jioni yangu ikae vizuri kipenzi !!Miss you too dear.... Za masiku?
Hahaha!Mdeni wake Anne, you were missed pia. Karibu utimilize ahadi ya mdogo angu
Tumechoka ahadi zako🤣🤣🤣Hahaha!
Natupia, nikitupia tulazima niwa tag wewe na Anne.
Asante jirani nakwako pia...Jioni njema wadau..
Yule anayekuja kwenye kituo once na kuondoka,, the only thing anachojali afanye assessment yake aondoke,,
Sawa jirani, kuna jambo zuri linakuja jirani..Asante jirani nakwako pia...
Bado Nasubiria jirani!!
AsanteHaya haya Fateni miongozo hiyo