Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sawa,
Lakini kweli devs wengi ni wafuata mkumbo, hii jf ni php, wikipedia ni php, facebook ni php, wordpress n.k.
Site nyingi sana ni PHP.. issue kubwa ni namna gani una secure kazi yako. Ujue kwanini inaoneka easy to hack ? watu wengi sana wamesoma PHP, tools nyingi sana za hacking zili lenga PHP maana ndio site nyingi, kwaiyo inakuwa kama rahisi vile kwasababu resources zipo za kutosha, ila mtu akiisuka PHP ipasavyo hutoboi.. kirahisi rahisi
 
Nimekusoma vyema mkuu.
Kumbe shida imeandamwa na society ya hackers, na wana support kubwa na tools.
hivyo kutengeneza mfumo from scatch inahitaji uwe makini, na hapo ndipo mnaingia wazee wa penetration..
 
Post M-alone ukipata nafasi pita na huyu mwamba, na vitabu vyake ni 🔥🔥 nilinunua vilipo toka na kwangu vikawa na matokea chanya sana
Screenshot_2022-06-30-11-50-24-413_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-06-30-11-51-16-687_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-06-30-11-51-34-896_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom