Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Wee ni mrembooo, ila hiyo Manga nimeielewa.Throw back thursday
View attachment 2277274
Hapana asante
Sijambo Kaka nipe habari
JS huwa naitazama, ila uzuri wake unaweza itumia fanya mambo mengi sana na ukamaliza mchezo, bila kuweka mzigo mzito kwenye backend.Hahaha
JS naweza sema ni loose typed language, sijui kama niko sahihi, language zingine kama C++, java n.k ni static, lazima ku specify umeweka type ipi either boolean, string, number etc
JS hakuna hio hio ni kunyooka tu 😁, sema typescript ndio wamekuja na hii mambo ya kuifanya iwe strong typed.
🔥🔥🔥🔥
PHP kwa nini devs wengi hawaipendi?
Hii ndyo tbt ehh miaka 40 iliyopita sshv tushazeeka View attachment 2277288
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app










kwani mie nna mshushua sasa? Mie mzungu bhanaaaa.Duh! kweli nyota ya simbaUmechelewa mjombaaa!!! leo mapema sana Niliweka !!
Umeelewa eeehNipitie basi mida mida
😂😂 Dah, sasa na mie nikataka nifahamu hio TV show ilikuaje imeku inspire kiasi hiko, so i was trying to be curious,TV show ya watoto 😅😅😅 na wewe unaangaliaga channel ya ‘Nickeledeon’? ni show ya kitambo kidogo
Si disko la Yesu tukasakate rhumba💃Umeelewa eeeh
Hahahahaaaa... usiwaze badae Nitaweka mjomba!Duh! kweli nyota ya simba
JS ni🔥🔥🔥JS huwa naitazama, ila uzuri wake unaweza itumia fanya mambo mengi sana na ukamaliza mchezo, bila kuweka mzigo mzito kwenye backend.
PHP , Rahisi kwa hacker kupita nayo. Lakini pia kumekuwa na backend language zinafanya vizuri zaidi ya PHP ni light na zipo na feature nzuri za ki usalama. Ingawa PHP ukikuta mtu anae ijua kui secure ni bonge la language
Kubambia inaruhusiwa ila ile kipendwaa tuu 🙂🙂🙂.. maamaSi disko la Yesu tukasakate rhumba💃