Swadakta. Hata hapo uki google how to hack php site, utakuna nazo kibao mbinu. Na inakuja novice wengi wanaanza na php, wanakuwa hawazingatii miiko ya development hasa kwa php. Copy sana code bila kujua why kaweka hiki hapa na why kaondoa kila pale.. mtu anatumia coee bila kujua, unakuta kwenye funtion ku turn on mala off baadhi ya function na hajui kwanini kafanya hivyo, pia unakuta mazingira aliyo develop ndio hayo hayo anaenda pandishia mzigo bila ku secure environment .. But kwangu PHP ni lugha nzuri sana ila inakuhitaji kuwa matured enough kuitendea haki