Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,744
Shape og😘😘Haya mjomba Nations barikiwa nahio mjomba wangu!
Shape og😘😘Haya mjomba Nations barikiwa nahio mjomba wangu!
Jirani.....safi sana jirani.Haya mjomba Nations barikiwa nahio mjomba wangu!
Pole nibariki mdogowako Mamb✌️✌️✌️✌️✌️ Nafurahi kukuona walau umefurahi mjomba!Sasa hapa mjomba kaptwa na amani 🔥🔥🔥🔥🤗🤗🤗🤗
Halafu kweli jmn sio vxr😂Eti jamani 😂
Asante dada [emoji8][emoji8]uko vyedi shape limetulia
Weee mamdo wanawake wote hao unapiga nyeto??
Toka ujazaliwa mm ni x wakoGenetic alikuwa X lini?
Sawa sawa nimekusoma.Penetration testing tupo aina mbili na zinafanyika kwa aina mbili.. ndani ya organizatuon hii mnawajua hata wanao fanya, alafu kuna ya nje ya organization hii hamjui watao ifanya, lengo ninkujirisha kama mfumo upo salama, kawa wa ndani wakishindwa na wa nje wakishindwa mpo safe kama wakitoboa mnazidi ku improve.. hii kitu muhimu sana kwenye mifumo yote na kwa namna ingine inasaidia hata kufanya system auditing
😘😘😘😘Asante dada [emoji8][emoji8]uko vyedi shape limetulia
Afu wee kwan umebadili jinaa?Cheka vizur mate [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kama Sina hela si bora chaputa tu ihusikeWeee mamdo wanawake wote hao unapiga nyeto??
Computer Forensics, kwa ufupi wake kwa mfano kuna uhalifu umefanyika wa kiteknolojia iwe computer , simu, au chochote kilicho ungwa na huo mfumo wa kimawasiliano .. mtu wa forensics anaenda kuanza kufanya investigation kujua uhalifu ulivyofanyika waliofanya ikiwezekana, na kukusanya ushahidi kama mtapeleka kesi mbele, huyu mtu wa forensics anakuwa kama shahidi wa kuthibitisha.. ni pana na inaenda zaidi ya hapo. ila mie nilijifunza zaidi namna ya kukusanya ushahidi kuutunza ..kwa ajiri ya kuufikisha unapotakiwaSafi sana, hii computer forensics inakuwaje?
Lol kumbeh polee!!
Nna kikojoleo na kinyeo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ww una nn lkn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nani huyo kabadili tumchape tumsute tumchambe [emoji39][emoji39]Afu wee kwan umebadili jinaa?
Kabisaaa yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkiwa mnabadili majina muwe mnasema [emoji23][emoji23]