Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,150
- 28,864
Pengine nami nitapendwaNa ununue tyuuh Dr.![]()

Pengine nami nitapendwaNa ununue tyuuh Dr.![]()

Umeona bonge la crew...yaani zitapigwa story huko motoni hadi shetani mwenyewe atakaribia meza yetu asikie kimasikhara zetu


Kuachwa pia sio jinai 😂😂😂Utaachwa tu
Aaaah hapo sawa,,,, fanya uje kaba CA haijaishaUmeniquote wrong.nimekwama haifiki..ok
Duh
Umezungukaaa
Kumbe target ni kiatu
![]()

napenda sana mwanaume avae kiatu kikali.Ndyoooooh.Pengine nami nitaoendwa![]()
Eeh wastahili kuitwa hivyo , Au MkuuHapo kwenye kaka
Kipengele

Haswaaaaah.When you fall in love, it is a temporary madness. ...
Mzima, nakuja kudoea lunchmambo?mzima rafiki
😂😂😂😂😂cocaMabasha hawatafutagi hivyooo, nenda Fb kulee utawapata wengiii tyuuh. Huku hadi mtu akuelewe mwenyewe anakujia PM, unakwama wapiiii? Wala hakuna mwenye shoboo nawee.
Fresh vipi huko ?Niaje T![]()
mtoto mzuri leo fresh au jau 🥲🥲Ndyoooooh.
Ila mnayapendaWala hata,, magari mnaya overrate sana kwenye suala la mahusiano na wanawake.
Kwan uko wapi wee sahivi?mtoto mzuri leo fresh au jau 🥲🥲
Fresh, wewe tu sema twende lini.twende siku moja basin😄😄
Mapenzi ya ki Jf yapoje?Me wananikera sana
Kwa sababu nikijiangalia,. Uwaga nafall before hata kujua mtu ananini.
Imagine mapenzi ya kijf,, saa ngapi nitajua una gari?![]()
Allah khayr,,Fresh vipi huko ?