Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah kule wameshaharibu mambo...mie nilikuwa na subiri kimasikhara yako ya pili naona jamaa katibu mambo mpaka umeghairi kiweka au na wewe nae handsome boy kakutia biti usiandike kimasikhara
Handsome kanifungia bwana nikishika simu muda mrefu ananimind. Kule watu wanapokea wokovu tu utachagua ubaki ama usepe
 
Tii kiu yako🥤
20220629_123245.jpg
 
Back
Top Bottom