Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Me mawazo yangu mazuri sana mbona😃
images.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipenziii kwann umeulizaaa? Nilikosea sana si unajua utoto tena nilileta penzi la kiselaa, afu hatukuachana vizuri, nilitibua mnoo, daah ukubwa huu ndo najua nilikua nipo wrong.

Namtakia maisha marefu na baraka telee yule mwambaa, sidhani km itatokea tena tukawa Pa1, maana cna mawasiliano almost 1 yrs now.
Huu mwandiko umejaa masikitiko..pole sana.

Kama imepangwa kuwa pamoja basi atakuja Kwa namna nyingine hata usijali
 
Kabisaaa, mtu ukimpenda hata awe maskini unakua name tyuuh.
Uki fall kwenye love ni ume fall. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika dear

Love doesn't ask why
It speaks from the heart
And never explains
Don't you know that

Love doesn't think twice
It can come all at once
Or whisper from a distance
 
Back
Top Bottom