Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Inanukia. Vizuri.afu kwann wanaipenda wengi? Hata X wangu pia alikua nayooo.
Huyo ex wako unampango wa kurudiana nae?
Aise Napenda mwamba anaenukia.pua yangu iko vizuri mno kupick smells.hata tukiachana harufu haiwezi isha



