Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Utaenda pekee yakoAlafu wewe mchonganishi ujue
Huko kisongo tutaenda wote







😂😂😂 na hii baridi usipake ngozi mafuta?Guu la bia,ngozi lainiiii,naona inatereza hata bila kupakwa mafuta,hakika MUNGU fundi.
Wee ni mnyarwanda bhanaa, leo ndo nimekuona vizuri.Mie mmatumbi tu shos ukute bibi wa babu alikua wahuko labdaa!!!




kidswee jaman, kwan uongo? Umeona wazee wanavobeba dents wa UD? Njoo weekend mida ya SAA 4 had jion uone ndinga zinavopishana kuchukua wanafunzi.




Shos namie ebu nitafutie kazee nimalizie nako uzee asee maisha yananila kiboga hukuu mie!!wee jaman, kwan uongo? Umeona wazee wanavobeba dents wa UD? Njoo weekend mida ya SAA 4 had jion uone ndinga zinavopishana kuchukua wanafunzi.

Mate hebu selfika bas.
Aiseee dogo 🤣🤣🤣😂😂😂Si inategemea na ntu na ntu, wastaafu wana shida gan? Km urungu wake unafanya kazi na mapene anayo, kwann nivunge? Namsanukia na kupita naye hiviii.![]()
kamera tu shos!!Wee ni mnyarwanda bhanaa, leo ndo nimekuona vizuri.
Uko bieniiii,kids
Basi ndio maana.. tunaishia kupigwa chini 😬😬😬25!???!
Nitakuonea 😂😂😂
Yan utakuwa huniambii kitu nikasikia


eti mie muongo? Wazee mvi hadi vuzi la matako kutwaa kuhaha na vitoto, sijui hawajiskii kichefu chefu, khaaahNgoja ukuwe kidogo, au niwe sugar mami wako 😇😇😇Basi ndio maana.. tunaishia kupigwa chini 😬😬😬
Yeeeeh yeeeh,, sema nn sister D,, never underestimate a man,, we are full of surprisesMonster
hapana hata na sie mlio na umri mkubwa hatuwataki wa kazi gani.. nani anataka kitu used, gazeti la majuziNgoja ukuwe kidogo, au niwe sugar mami wako 😇😇😇
Una kibamia wee, yaan hata alama kwamba kuna kitu, achilia mtuno lol,








