myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Jirani bado Jirani..Shos namie ebu nitafutie kazee nimalizie nako uzee asee maisha yananila kiboga hukuu mie!![emoji6]
Jirani bado Jirani..Shos namie ebu nitafutie kazee nimalizie nako uzee asee maisha yananila kiboga hukuu mie!![emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] headmaster hayupo hapo? Pita naye uwe second hapo, unakwama wapi weee?Shos namie ebu nitafutie kazee nimalizie nako uzee asee maisha yananila kiboga hukuu mie!![emoji6]
Hahhahahaaaa shos wee kwa VAR ninoumaaaaaa!!Una kibamia wee, yaan hata alama kwamba kuna kitu, achilia mtuno lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basis iko freshhhhhyy.kamera tu shos!!
Desperate time, Desperate measures watoto wana shida na mkwanja mzee ana shida na utelezi na ufundi juu,,,, it's more like i scratch your back and you'll scratch mine[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] eti mie muongo? Wazee mvi hadi vuzi la matako kutwaa kuhaha na vitoto, sijui hawajiskii kichefu chefu, khaaah
Jamani jirani mbona hivo??? Najua utakuja kuweka nikiwa offline jirani sio vizuri!!Jirani bado Jirani..
Wallah nimeshtukaaa mnooo, yaan pako kimyaaa, kheeeh maajabu haya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhahahaaaa shos wee kwa VAR ninoumaaaaaa!!
Basi sie waswahili tuna safari ndefu sana, naona vingi katika hizo dondoo nimo, au niko peke yangu?BAADHI YA SHERIA ZA KIJAMII, ZITAKAZO KUSAIDIA KUISHI NA WATU VIZURI.
1. Usimpigie mtu simu zaidi ya mara mbili mfululizo. Ikiwa hapokea simu yako, chukulia kuwa ana jambo muhimu yuko analifanya.
2. Rudisha pesa ulizokopa hata kabla mtu aliyekukopa hajakukumbusha au kukuomba. Kufanya hivi kunaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwaminifu, na kutakufanya uaminike zaidi.
3. Usiagize chakula kingi usichoweza kukimaliza unapokuwa mgahawani au hotel. Agiza chakula kinachokutosha na utakachokimaliza, hii itakufanya uonekane ni jinsi gani unavyothamini chakula na kuheshimu juhudi za wakulima.
4. Usimuulize mtu maswali ya aibu mbele ya watu kama ‘Oh kwa hiyo bado hujaolewa?’ .au ‘Je, huna watoto’ au ‘Kwa nini hujanunua nyumba?’ Au kwa nini hununui gari?. Hilo sio jukumu lako, ni jukumu lake mhusika pamoja na MUNGU wake.
5. Ikiwa unapawe ofa na rafiki yako katika kulipia mambo tofauti tofauti wakati wa matembezi, Jitahidi na wewe umlipie wakati ujao, ili asikuchoke au kukudharau maana binadamu hawana dogo.
6. Heshimu maoni au mawazo ya mtu kwa kumsikiliza wakati anapoongea. Kumbuka kile ambacho ni 6 kwako kitaonekana 9 kwa mtu mwingine, usidharau maoni au mawazo ya mtu hata kama unajua kaongea pumba.
7. Usimkatishe mtu katika kipindi ambacho anazungumza, sikiliza kwanza akimaliza kuongea na wewe ongea, hii itasaidia kuepuka ugomvi au mabishano wakati wa mazungumzo yenu.
8. Usimseme mtu vibaya au kuongea mabaya yake mbele ya watu wengine, ikiwa una mabaya yake mtafute na zungumza nae kwa upendo ili ayatambue madhaifu yake na ajisahihishe. kumbuka hakuna binadamu mkamilifu.
9..Usisahau kusema asante katika kipindi ambacho unapokea kitu chochote kutoka kwa mtu au kusaidiwa jambo fulani. Hii itaonyesha ni jinsi gani unavyothamini.
10. Jifunze kumsifia mtu hadharani.na mkosoe mtu faraghani, hii itaonyshesha ni jinsi gani ulivyo muungwana. Usimkosoe mtu hadharani.
11.Mtu anapokuonyesha picha kwenye simu yake, usitelezeshe kidole chako kushoto au kulia. Huwezi kujua nini kinafuata, Jenga tabia ya kufanya kile ulichoelekezwa kufanya, tena kifanye kwa uaminifu.
12. Mwenzako akikuambia anajisikia vibaya kuwa mwelewa, usitake kujua sababu za kwanini anajisikia vibaya ikiwa hajakuambia.
13. Mtende na kumfanyia mfanyakazi wako wa ndani mambo unayowafanyia watoto wako, ikiwa ni upendo muonyeshe upendo kwa kumtimizia mahitaji yake yote. Kumbuka wewe umezaa tuu, ila yeye anakulelea watoto wako.
14. Ikiwa mtu anazungumza moja kwa moja na wewe, huku ukitazama simu yako au unacharti ni kukosa adabu. Jifunze kuweka umakini wako katika jambo moja.
15. Usitoe ushauri kamwe hadi uombwe; ili usije onekana umejipendekeza kwa kutoa ushauri usiohitajika.
16. Ondoa miwani yako ya jua ikiwa unazungumza na mtu yeyote barabarani. Ni ishara ya heshima.
17. Usizungumze kamwe kuhusu utajiri wako katikati ya watu maskini. Vivyo hivyo, usizungumze juu ya watoto wako katikati ya mtu tasa. Usizungumze kuhusu wazazi wako katika ya mayatima.
Natumia umenielewa.
18.Baada ya kusoma ujumbe mzuri kama huu jifunze kusema "Asante kwa ujumbe". hii itaonyesha ni jinsi gani unavyohitaji na kuyathamini maarifa
MWISHO.....
TUSICHOKE KUJIFUNZA, NA
TUZIDI KUJIFUNZA.....
[emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]
Akhaaa Walimu wenzangu siwataki mie !!! 😉😉!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] headmaster hayupo hapo? Pita naye uwe second hapo, unakwama wapi weee?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] YeeehUna kibamia wee, yaan hata alama kwamba kuna kitu, achilia mtuno lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka ki [emoji635]Desperate time, Desperate measures watoto wana shida na mkwanja mzee ana shida na utelezi na ufundi juu,,,, it's more like i scratch your back and you'll scratch mine[emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wallah nimeshtukaaa mnooo, yaan pako kimyaaa, kheeeh maajabu haya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16]Wallah nimeshtukaaa mnooo, yaan pako kimyaaa, kheeeh maajabu haya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntaweka jirani....kuna mdau hapo kaona sura ya jirani zatu 😀 😀Jamani jirani mbona hivo??? Najua utakuja kuweka nikiwa offline jirani sio vizuri!!
Sio nch 7, sasa hii si ya mtoto wa 4m 3, chuo lazima nchi 10 kupanda juu isome. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Yeeeh
Sasa kila mtu akiwa na inchi 7,, mbona dunia itakuwa hainogi sasa [emoji48][emoji48]
Huyo mjukuu wangu ni shida. Anapita mpaka na mapene ya sisi wastaafu dah!Umenishinda..Mzee wangu Shimba ya Buyenze njoo umalizane na mjukuu wako huku
Kwa hiyo wazee Wanafaudu hela za kustaafia na watoto wa chuo? Basi sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jaman, kwan uongo? Umeona wazee wanavobeba dents wa UD? Njoo weekend mida ya SAA 4 had jion uone ndinga zinavopishana kuchukua wanafunzi.
Wastaafu oyeeeee😁😁Chini ya 30, hovyo!
Chini ya 35 at least’ watulivu wapo
Afu kuna hao wa 40s baadhi ni wamechachuka hatari 🤣🤣
Wastaafu wanaanzia ngapi 🤣
Ila wastaafu wanajuaaa
Wanajuaaa
Wanajua tenaaaa 🤣🤣
Nyie kuna mtu anatumia acc yangu 😁😁
Sasa kusinzia si ndo alama ingekuwepo kuwa kuna kitu kimelala hi sehemu, na huwa inachagua kwa kulala, sasa pnde zote ni flat, why nisistaajabu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
si imesinzia shos Lakini [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!
Hold onSio nch 7, sasa hii si ya mtoto wa 4m 3, chuo lazima nchi 10 kupanda juu isome. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]