cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,266
- 201,305
Sitaki uneneee, wembamba ndo pakee, mwenzenu napenda kudekadeka, sasa nikiwq bongee ntadeka vipi si itakua mam kubwa kawa jingaaa,Tubadishane basi matumbo [emoji1787]
Nna katumbo kg 3
Kubebwa juu juu, huku unalilia ukuni kunako, mie nasifu na kuhubiri, mwenzangu anacharaza kinanda na kupiga gitaa, nani hataki? Wee traaaaaamuuuuuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]