Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Si inategemea na ntu na ntu, wastaafu wana shida gan? Km urungu wake unafanya kazi na mapene anayo, kwann nivunge? Namsanukia na kupita naye hiviii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenishinda..Mzee wangu Shimba ya Buyenze njoo umalizane na mjukuu wako huku
 
Chini ya 30, hovyo!
Chini ya 35 at least’ watulivu wapo
Afu kuna hao wa 40s baadhi ni wamechachuka hatari [emoji1787][emoji1787]


Wastaafu wanaanzia ngapi [emoji1787]


Ila wastaafu wanajuaaa
Wanajuaaa
Wanajua tenaaaa [emoji1787][emoji1787]

Nyie kuna mtu anatumia acc yangu [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leta madini, letaaaaa.
 
Chini ya 30, hovyo!
Chini ya 35 at least’ watulivu wapo
Afu kuna hao wa 40s baadhi ni wamechachuka hatari [emoji1787][emoji1787]


Wastaafu wanaanzia ngapi [emoji1787]


Ila wastaafu wanajuaaa
Wanajuaaa
Wanajua tenaaaa [emoji1787][emoji1787]

Nyie kuna mtu anatumia acc yangu [emoji16][emoji16]
Umesharanduka..Tafuna muwa upunguze makali
 
Back
Top Bottom