Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mnanichanganya, nikinenepa utasikia kheeeeh ukiwa mnene hupendezi, unene haukufai.
Nikikonda wanaanza tena kheeeh umekutwa na nn? Wengune hadi wanasema nitakua nimeukwaaa, utadhan nilikua nautafuta.

Woiiiiiih,. Nakula sana ila namaintain
Ukinenepa lazima tako liwe na mabonde mabonde😎
 
IMG_20220627_153011.jpg
 
Wee Kwendraaa
Ukizidi sana 28
Siyo wewe Tu hata kazini kwangu huwa wanashindwa kuamini nikiwaambia umri wangu,mbaya zaidi kuna ambao nikisimama nao wanaonekana mabro zangu kumbe wadogo wangu..Siri ni Kula mboga za majani,mazoezi na kutotumia vilevi
 
Back
Top Bottom