Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unakula kweli wewe? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu mnanichanganya, nikinenepa utasikia kheeeeh ukiwa mnene hupendezi, unene haukufai.
Nikikonda wanaanza tena kheeeh umekutwa na nn? Wengune hadi wanasema nitakua nimeukwaaa, utadhan nilikua nautafuta.

Woiiiiiih,. Nakula sana ila namaintain
 
Yan ni hauna tumbo 😂 ndio nauliza, unakula kweli?
 
Back
Top Bottom