Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
Wacha weee, hapo ni mini Kila siku. Hongera mama, umebarikiwa.
Wacha weee, hapo ni mini Kila siku. Hongera mama, umebarikiwa.
Nilikuwa na safari ya dom na sikuji
[emoji23][emoji23] Mbona sasa hupokei [emoji1787]
Jirani kwa mbaaaaliii..Weekending!!
Umemuona eehh!![emoji12][emoji126]Jirani kwa mbaaaaliii..
Nimemuona...kapendeza na unywele wake. Safiii sana.Umemuona eehh!![emoji12][emoji126]
Asante sana jiranii 💃Nimemuona...kapendeza na unywele wake. Safiii sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongo.Naanzaje mie uwiiii!! Haitokuja kutokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@Ndinda kazi kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu wameliwa vichwa huko, noumaaah.Sawa shoussss
Urudi upige tu mishe zako[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Pilau linavutia.Mkaa unapika vizuri kuliko gesi
View attachment 2273078
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee??Hamna shida Mimi ntaridhika na chochote ili mradi umepost wewe, Kwa picha nikioona imekaa akilini haifutiki inatosha [emoji1787]. Ngoja nisajioi numba kwa nida ntakufuata Inbox.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu wa degree anatupwa kufundisha mtoto wa std 5, mie sitaki, leo nacheka tyuuh.Mimi nafanana na ajira ya Mwalimu wa Mwandiko [emoji41]
Huogopi kuanguka wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viatu km umekurupushwa kwa intavoooo, lol.Siku imekwishaView attachment 2273469
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viatu km umekurupushwa kwa intavoooo, lol.
Mwenyewe hapo bas unaona umetimbaa mtoko? Weraaaaah
Bora urudi upige mishe zako shouz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu wameliwa vichwa huko, noumaaah.
Hivi mbna ajira kulingana na taaluma yetu, haitangazwi km hivi? Huwa najiuliza sana.Bora urudi upige mishe zako shouz